Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MAFINGA-IGAWA (TANZAM HIGH WAY) MARA BAADA YA U UJENZI

Muonekano wa Barabara Kuu ya Mafinga Igawa (TANZAM HIGH WAY) iliozinduliwa na leo na Rais wa Jamuhuri ya Muungano Mhe.Dkt. John Magufuli akiwa katika ziara yake 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara kuu ya TANZAM sehemu ya Mafinga-Igawa km 138.7 katika sherehe zilizofanyika Wanging’ombe Makambako mkoani Njombe.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.