Habari za Punde

Vijana wa UVCCM Kisiwani Pemba Washiriki Katika Kazi za Kijamii Kuadhimisha Miaka 55 ya Mungano wa Tanganyika na Zanzibar Kwa Kazi Mbalimbali.

BAADHI ya wajumbe wa kamati ya watumishi wa uuma Pemba, wakishirikiana na vijana na wananchi wa chanjamjawiri, wakiwa wakiezeka paa la nyumba ya Mzee Suleiman Maalima Hassan, huko Chanjamjawiri jimbo la Chonga shehia ya  Chonga Wialya ya Chake Chake  Pemba.
BAADHI ya wananchi na viwajana wa kamati ya watumishi wa umma Pemba, wakiangalia harakati za uwezuaji wa paa la nyumba ya Mzee Suleiman Maalima Hassan, huko Chanjamjawiri jimbo la Chonga shehia ya  Chonga Wialya ya Chake Chake  Pemba.
WANACHAMA wa UVCCM Wilaya ya Wete, wakifanya usafi katika hospitali ya Wete, ikiwa ni miongoni mwa kuashimisha miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
KATIBU wa Wilaya ya Wete, Mkufu Faki Ali, akishirikiana na wanachama wa UVCCM Wilaya ya Wete, katika usafi wa mazingira katika hospitali ya Wete, ikiwa ni kuashimisha miaka 55 ya Muungano wa Tanzania.
MBUNGE wa viti maalum kupitia CCM na Mlezi wa jimbo la Mtambwe Maida Hamad Abdalla, akizungumza na wanachama wa Chama hicho huko, Kivumoni Mtambwe wakati wa ujenzi wa taifa wa Maskani ya Vijana "CCM FRESH" 
(Picha na Said Abdulrahaman - Pemba.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.