Habari za Punde

Kikao cha BLW chaendelea leo

 Mwakilishi wa Jimbo la Shaurimoyo Hamza Hassan Juma akichangia Hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman katika kikao cha baraza la Wawakilishi kinachoendelea Mbweni Zanzibar.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Jimbo la Chaani Nadir Abdul-latif Yussuf katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.
 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Shamata Shaame Khamis (kushoto)akibadilishana mawazo na mwakilishi wa Jimbo la Shaurimoyo Hamza Hassan Juma ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.

Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake Suleiman Sarahan Said akichangia Hotuba ya  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman katika kikao cha baraza la Wawakilishi kinachoendelea Mbweni Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.