Habari za Punde

Mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur'aan kwa wanaume yafanyika Zanzibar

MWANAFUNZI Mbarouk Mussa Juma, Miaka 17 kutoka Zanzibar, ambae ameshinda kwa kupata alama 100 katika mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Qur-an juzuu 30 (TASHJEE), akisoma katika mashindano yaliofanyika Masjid Jamiu Zinjibaar Mazizini Unguja


KATIBU Kamisheni ya Wakfu na Maliamana, Shekhe Abdalla Talib, (kushoto), akimkabidhi zawadi Mshindi wa kwanza katika mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur-an Juzuu 30 (HIFDHI) Antoissi Issa Ali, kutoka Nchi ya ComoroNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.