Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R )
Mbarouk Salum Mbarouk. akizungumza wakati wa mkutano wa wasimamizi wa Uchaguzi kuzingatia Katiba na Sheria katika uchaguzi mdogo wa kata 32.
Na
Wandishiwa NEC, Dodoma
MakamuMwenyekitiwaTumeyaTaifayaUchaguzi
(NEC) Jaji (R)
MbaroukSalumMbaroukamewatakawasimamiziwauchaguzinawasimamiziwasaidiziwauchaguzikuzingatiamatakwayaKatibanaSheriazinazosimamiauchaguzinchinikatikakusimamiauchaguzimdogowaudiwanikatika
kata 32 unaotarajiwakufanyikaJuni 15 mwakahuu.
JajiMbaroukameyasemahayowakatiakifunguamafunzoyausimamiziwauchaguzikwawasimamiziwauchaguzinawasimamiziwasaidiziwauchaguzikutoka
kata 32 nahalmashauri 20 za Tanzania Bara zinazotarajiakushirikikatikauchaguzihuo,
yanayofanyikajijini Dodoma.
Alisemapamojanabaadhiyawasimamizikuwanauzoefukatikakusimamiachaguzimbalimbali,
aliwasisitizakuzingatiamaelekezowatakayopewanaTumekatikakusimamiauchaguzihuobadalayakusimamiakwamazoeakwani
NEC imewaaminikuwawanawezakutekelezamajukumuyaokwakuzingatiamatakwayaKatibanaSheria.
“Nduguwashirikimnatakiwakutambuakuwammeaminiwanakuteuliwakwasababumnaouwezowakufanyakazihiijambo
la muhimunikujiamininakujitambuanakwambamtapaswakuzingatiasheria, miongozo,
kanuninamaelekezoyanayotolewanaTumekwaajiliyakuendeshanakusimamiachaguzi”
alisemaJajiMbarouk.
Kwa upande
wake MkurugenziwaUchaguziwa NEC Dkt. AthumaniKihamiaaliwatakawasimamizihaowauchaguzikuwepomudawotewakatiwakutekelezamajukumuyauchaguzinahata
pale inapotokeadharurawahakikisheanakuwepomsimamiziatakayetekezamajukumuyao.
“Ni
vyemamkafahamukwambakipindihikiambachommeshateuliwanakuapakuwawasimamiziwauchaguzi,
weweunakuwamtumishiwaTumeyaTaifayaUchaguzikwamudahuo.Kwahiyonivyemaukawaofisinimudawoteukiondoadharura”
alisemaDkt. Kihamia.
AlifafanuakuwasualahilolimetolewamuongozokatikaMaadiliyaUchaguziyamwaka
2015 sehemuya 4 (1), watendajiwotewauchaguzikatikakipindi cha uteuziwawagombea,
katikakipindi cha upigajikuranakatikahatuayoyoteyamchakatowauchaguzi.
Katikamafunzohayo, wasimamiziwauchaguzinawasimamiziwasaidiziwauchaguziwalikulakiapo
cha kujitoauanachamawachama cha siasambeleyaHakimu ArnoldKirekianoambapomadambalimbalizitawasilishwakuhusuhatuambalimbalizamchakatowauchaguzi
No comments:
Post a Comment