Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Magufuli Aelekea Nchi Afrika Kusini Kuhudhuria Hafla ya Kuapishwa Rais wa Nchi Hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  kuelekea Afrika ya Kusini, atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa mjini Pretoria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati wakiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kuelekea Afrika ya Kusini asubuhi hii ambapo kesho watahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa mjini Pretoria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe  Magufuli akiwa ameongoza na na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula wakielekea kwenye ndege  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Myerere jijini Dar es salaam tayari kuelekea Afrika ya Kusini asubuhi hii ambapo kesho watahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa nchi

hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa mjini Pretoria 
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa kwenye ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) wakielekea Nchini Afrika Kusini kwaajili ya Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa OR Tambo Nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuhudhuria  Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019. 

Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.