Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Magufuli Awasili Nchini Zimbabwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Robert Mugabe nchini Zimbabwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa wakipokea zawadi za maua kutoka kwa watoto wa Zimbabwe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Robert Mugabe nchini Zimbabwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa wakiwa wamesimama wakati nyimbo za taifa za Tanzania na Zimbabwe zilipokuwa zikipigwa mara baada ya kuwasili nchini Zimbabwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa wakati wakiangalia vikundi vya ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Robert Mugabe nchini Zimbabwe.

Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.