Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed SheinAzungumza na Uongozi wa Wizara ya Afra Zanzibar Ikulu Ndogo Kibweni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar, katika Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbui wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Afya Zanzibar akisoma Taarifa ya Utelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar kuazia mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Ali Abdalla akisoma Taarifa ya Matumizi na Mapato ya Wizara ya Afya Zanzibar, wakati wa Mkutano wa Utekelezaji Mpango Kazi kuazia mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar. 
Baadhi wa Wakuu wa Idara za Wizara ya Afya Zanzibar wakifuatilia mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Jamala Adam Taib, akizungumza wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.