Habari za Punde

Taasisi ya Samael Yakabidhi Msaada Kwa Wananchi wa Kisiwani Pemba.


Mkurugenzi wa Taasisi ya Samael Kisiwani Pemba, Sheikh Nassor bin Said (Alrawahy) akisalimiana na Sheikh Moh'd bin Suleiman ,(Altiwany) mara baada ya kuwasili katika jengo la Taasisi hiyo kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya utowaji Sadaka kwa Walimu wa Madrasa za Quraan , Wana jamii na watu mbali mbali , ilioandaliwa na Taasisi ya Samae Academy.
Picha na Bakari Mussa  -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.