Habari za Punde

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS MHE MOHAMED ABOUD MOHAMED APIGA MARUFUKU UINGIZWAJI NA UTUMIAJI WA MIFUKO YA PLASTIKI ZANZIBAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed akisisitiza jambo wakati akijibu maswali ya Waandishi wa Habari(hawapo pichani)kuhusiana na Kupiga marufuku Uingizwaji na Utumiaji wa Mifuko ya Plastiki  amabayo  inaonekana kuingizwa Nchini ikiwa na Rangi tofauti mkutano uliofanyika ukumbi wa Juu wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar. 
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed kuzungumzia  kupiga marufuku Uingizwaji na Utumiaji wa  mifuko ya Plastiki amabayo  inaonekana kuingizwa Nchini ikiwa na Rangi tofauti mkutano uliofanyika ukumbi wa Juu wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa ZBC Swaumu Khamis akiuliza maswali katika  Mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed kuzungumzia  kupiga marufuku Uingizwaji na Utumiaji wa  mifuko ya Plastiki amabayo  inaonekana kuingizwa Nchini ikiwa na Rangi tofauti mkutano uliofanyika ukumbi wa Juu wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.
Picha na Yussuf Simai  - Maelezo  Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.