Habari za Punde

Uzinduzi wa Vuguvugu la kuhamasisha Malezi bora na matunzo ya Familia wafanyika uklumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Kikwajuni

 Baadhi ya Waalikwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Vuguvugu la kuhamasisha Malezi bora na matunzo ya Familia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil kikwajuni mjini Unguja.
 Mkurugenzi wa Wanawake na Watoto Nasima Haji Chum akizungumza katika Uzinduzi wa Vuguvugu la kuhamasisha Malezi bora na matunzo ya Familia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil kikwajuni mjini Unguja.

 Waziri Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Vuguvugu la kuhamasisha Malezi bora na matunzo ya Familia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil kikwajuni mjini Unguja.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma akitoa hotuba ya uzinduzi wa Vuguvugu la kuhamasisha Malezi bora na matunzo ya Familia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil kikwajuni mjini Unguja.kulia ni Waziri Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico na kushoto ni Naibu katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Mwanajuma Majid.
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma(kushoto)akiwa pamoja na Waziri Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico(kulia)wakionesha Vitabu ikiwa ni Ishara ya Uzinduzi wa Vuguvugu la kuhamasisha Malezi bora na matunzo ya Familia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil kikwajuni mjini Unguja.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma(kushoto)akiwa pamoja na Waziri Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico(kulia)wakimsikiliza Mtoto mlemavu Said Juma Ali akiwakilisha wenzake walemavu katika Uzinduzi wa Vuguvugu la kuhamasisha Malezi bora na matunzo ya Familia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil kikwajuni mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.