Habari za Punde

Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Waadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari.

MKUU wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali akifungua mkutano wa wadau, wakati wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani,  maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa baraza la Mji Chake Chake.
MWENYEKITI wa klabu ya waandishi wa habari Pemba, Said Mohamed Ali akizungumza katika mkutano wa wadau Pemba, ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani, maadhimisho yaliyofanyika katika ukumbi wa baraza la Mji Chake Chake
 AFISA Mdhamini Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Pemba, Khatib Juma Mjaja akichangia mada mbali mbali zilzowasilishwa katika maashimisho ya siku ya uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani,  maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa baraza la Mji Chake Chake
BAADHI ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Kisiwnai Pemba, wakifuatilia kwa makini maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani,  maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa baraza la Mji Chake Chake

BAADHI ya waandishi wa TV wakipiga picha mbali mbali wakati wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa baraza la Mji Chake Chake.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.