Habari za Punde

Wachezaji Bora wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kwa Mwaka 2018/2019 Watunukiwa Zawadi na Chama Cha Mpira Zanzibar ZFA .

Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Michezo Sanaa na Utamaduni Zanzibar Ndg Omar Hassan King akimkabidhi zawadi Mchezaji Mdogo katika Michuano ya ligi Kuu ya Zanzibar kwa mwaka 2018/2019 kutoka Klabu ya Timu ya Mlandege iliopanda mwaka huu Ndg. Ibrahim Ali Juma (Chafu) hafla hiyi imefanyika katika Uwanja wa Amman baada ya kumalizika mchezo wa Fainali ya Kombe la FA Kati ya JKU na Malindi.


mchezaji bora kijana wa msimu Ibrahim Ali Juma Chafu wa MLANDEGE.


Moh'd Seif belo wa pili kushoto mchezaji mwenyenidhamu bora wa msimu kutoka POLISI

Wa kwanza kushoto ni Abubakar Sufiani Kabela wa FIRE mfungaji bora ana magoli sawa na Mussa Ali Mbarouk wa KMKM wa pili kutoka kulia wote wakiwa wamepata zawadi sawa baada ya kua na magoli sawa.... nini maoni yako?
Na wamwisho kulia ni mchezaji bora kijana wa msimu Ibrahim Ali Juma Chafu wa MLANDEGE.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.