Habari za Punde

Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mzee John Malecela na Mkewe Wamtembelea na Kumjulia Hali Mtoto Wao WIlliam Malecela Hospitali ya Muimbili leo.


Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Malecela na mkewe Mhe Anna Kilango-Malecela wakiwa wamemtembelea kumjulia hali mtoto  wao William Malecela maarufu kama Le Mutuzu Super Brand aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam kwa matibabu leo Jumapili Mei 5, 2019

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.