Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Aongoza Wananchi Katika Mazishi ya Dk, Mengi Kijiji Kwao

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa hafla ya Ibada Maalum ya kuuombea Mwili wa Marehemu Dr. Reginald Mengi Ibada iliofanyika katika kanisa la Kiijili la Kilutheri Tanzania la (KKKT) Moshi Mkoani Kilimanjaro. 
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pole Mjane wa Marehemu Dr. Mengi Jackline Mengi.

Wiziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiweka shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dr. Reginald Meng, aliyezikwa jana kijijini kwao Nkuu Machame Mkoani Kilimanjaro.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.