Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. Akagua Vifaa Vya Kisasa Vya Idara ya UUB Vilivyowasili Hivi Karibu Kuimarisha Miundombinu ya Barabara za Unguja na Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara yake katika Kituo cha UUB Kibele Wilaya ya Kati Unguja kutembelea na kuangalia Vifaa Vipya vya Ujenzi wa Barabara Zanzibar, Vilivonunuliwa na Serikali ya Mapinduziu Zanzibar.kulia Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Ndg. Mustafa Aboud Jumbe.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akagua Vifaa Vipya vya Utengenezaji wa Barabara Zanzibar, akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya UUB Zanzibar Eng. Ali Tahir  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi na Utunzaji wa Barabara Zanzibar Eng. Ali Tahir Fatawi, wakati alipofanya ziara kutembelea Kituo hicho kujionea Vifaa Vipya vya Utengenezaji wa Barabara vilivyoagizwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.