Habari za Punde

Shirika la Ndege la Tanzania ATCL laanza safari zake za kwenda Nchini Afrika Kusini leo tarehe 28/06/2019

Ndege ya Abiria ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL aina na Airbus A220-300 ikiruka kuelekea nchini Afrika Kusini leo tarehe 28/06/2019 ikiwa ni uzinduzi wa Safari yake ya kwanza kwenda nchini humo.

Ndege ya Abiria ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL aina na Airbus A220-300 ikipakia abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka kuanza safari yake ya kwanza ya kuelekea nchini Afrika Kusini leo tarehe 28/06/2019. kwenda nchini humo. 
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.