Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Akagua Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Lucas Maria na Kukutana na Wenzake Aliosoma Nao Shule ya Msingi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Paroko wa Parokia ya Mnacho wilayani Ruangwa, Padri Gerold Nyagau wakimsikiliza Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa wakati alipozungumza baada ya Ibada ya Jumapili kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Mnacho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Lucas Malia iliyopo Mnacho wilayani Ruangwa, Juni 2, 2019. Kushoto ni Mkewe Mary na kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Mwalimu  David Mwakalobo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Paroko wa Parokia ya Mnacho, Padri Gerold Nyagau (wa pili kushoto) wakati alipokagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Lucas Malia iliyopo Mnacho wilayani Ruangwa, Juni 2, 2019. Kushoto ni Mkewe Mary na kulia ni Mkuu wa Shule hiyo, Mwalimu David Mwakalobo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisalimina na Watawa wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mnacho baada ya Waziri Mkuu, kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Lucas Malia wilayani Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Bibi Agnes Venance (kulia) na BW.  Paskazi Mashimo (katikati) ambao alisoma nao katika Shule ya Msingi ya Mnacho wilayani Rungwa kwenye miaka ya 70 .  Alisalimiana na wanafunzi wenzake hao baada ya kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Lucas Malia iliyopo Mnacho wilayani Ruangwa, Juni 2, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.