Habari za Punde

Balozi Seif Ali Iddi Atowa Mkono wa Pole Kwa Familia Zilizopata Msiba wa Ndugu Zao Kuzama Baharini Shumba Mjini Kisiwani Pemba.

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar,Balozi Seif Ali Iddi akiwa na baadhi ya Viongozi wakitoa mkono wa mpole kwa familia zilizopata msiba kutokana na kuzama kwa chombo walichokuwa wakivulia baada ya kukumbwa na dhoruba ya Upepo mkali na kusababisha vifo huko Shehia ya Shumba Mjini alipokuwa ziyarani kisiwani Pemba.
Baadhi ya Wanafamilia waliyofarajiwa na Mh. Balozi Seif Ali Iddi kutokana na Msiba wa kuzama kwa chombo na kusababisha kifo na kupotea kwa Wavuvi na Vyombovyao Micheweni Shehia ya Shumba Mjini kwa ajili ya kufarajiwa.
Mmoja kati ya wanafamilia waliyofarajiwa  baada ya kupokea ubani kutoka kwa  Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Shamata Shaame Khamis akionyesha .
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Bolozi Seif Ali Iddi akipatiwa Maelezo na Mkuu wa Idara ya Misitu Pemba Said Juma  wakati alipotembelea Msitu wa Hifadhi  Ngezi Wilaya ya Micheweni alipokuwa Ziarani Kisiwani Pemba
Makamu Wapili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akizumgumza na Wananchi  wa Ukunjwi wakati alipotembelea Mradi wa  Maji safi na Salama (Kulia) Waziri wa Ardhi Nyumba Maji na Nishati  Mh. Salama Aboud Talib na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mberwa Hamad Mberwa.
            Picha na Miza Othman - Maelezo Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.