Habari za Punde

Katibu Kiongozi Mhe.Balozi Kijazi Aridhishwa na Maandalizi ya Mkutano wa SADC


KatibuMkuuKiongoziBalozi  John Kijaziakizungumzanawaandishiwahabarikuhusuhatuailiyofikiwakatikamaandaliziyamkutanowa 39 wawakuuwanchinaSerikaliwaJumuiyayaMaendeleoyaKusinimwaAfrika (SADC) utakaofanyikakatikaKituo cha Kimataifa cha Mikutano cha MwalimuNyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam Agosti 17 na 18 mwakahuuambapoameridhishwanahatuailiyofikiwakatikamaandalizi, Mkutanohuoutatanguliwana wiki yaviwandakuanziaAgosti 5 hadi 8, 2019 namikutanoyawataalamuwakisekta . KulianiKatibuMkuuKiongozinaKatibuwaBaraza la Mapinduzi Zanzibar DktAbdulhamidYahyaMzee.

Na Mwandishi Wetu- Maelezo.                                                                                                          
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema maandalizi ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wananchama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi ujao yanaridhisha.

Ameyasema hayo wakati akikagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi hayo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam amesema kuwa maandalizi yaliyobaki ni madogo na yako katika hatua za mwisho kukamilika ili kuwezesha mkutano huo kufanyika kwa ufanisi kama ilivyopangwa.

“Mkutano huo ni fursa kwa kila mwananchi na hasa kwa kuzingatia kuwa mikutano yoteya SADC itafanyikahapanchinikwakipindichote cha mwakammojaambapo Tanzania itakuwaMwenyekitiwaJumiyahiihivyokilasektaitanufaikaikiwemoutalii, usafirishajinamahoteli” AlisisitizaBaloziKijazi
Akifafanuaamesemakuwakunaumuhimukwawananchikuhakikishakuwawanatumiavizurifursaya wiki yaviwandainayotarajiwakuanzaAgosti 5 hadi 8 kuoneshabidhaawanazozalishailikukuzasokonakuwafikiawananchiwengizaidiwanchiwanachamawaJumuiyahiyo.
Aliongezakuwakumekuwanamuamkomkubwakutokakwawazalishajiwandaninakutokakatikanchiwanachamakushirikikatikamaoneshoyanneya wiki yaviwandayatakayofanyikakablayamkutanowawakuuwanchinaSerikaliwanachamawa SADC.
KwaupandewavyombovyahabariBaloziKijaziamesemakuwawanajukumukubwa la kuhakikishakuwawanakuwawazalendokatikakipindi cha mkutanohuokwakuandikanakuripotihabarizinazolengakujengataswiranzuriya Tanzania ilikuwavutiawagenimbalimbaliwatakaofikawakatiwamkutanohuo.
Akizungumziasuala la fursazamkutanohuokwawananchiamesemazitakuwakichocheo cha kuletamaendeleokatikasektazautalii, usafirishaji ,hotelinanyinginenyingikutokananaidadikubwayawatuwatakaofikakatikamkutanohuonakatikakipindichote cha mwaka 2019/2020.
Kwaupande wake KatibuMkuuWizaraya Mambo yaNjenaUshirikianowaAfrikaMasharikiDktFarajiKasidiMnyepeamesemakuwamaandaliziyamkutanohuoyanaendeleavizurinayanaridhisha.
MkutanowawakuuwanchinaSerikaliwanchiwanachamawa SADC utafanyikahapanchiniAgosti 17 na 18, 2019 ukitanguliwana wiki yaviwandakuanziaAgosti 5 hadi 8, 2019 namikutanowawataalamuwasektambalimbali.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.