Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kaskazini Pemba, Mberwa Hamad Mberwa ,akifunguwa Kongamano la Wazazi wa Mkoa wa Kusini Pemba, liliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Mohammed Juma Pinduwa Mkoani Pemba .
Baadhi ya Wanachama wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Kusini Pemba , wakiwa katika Kongamano la Jumuiya hiyo lilifanyika katika Ukumbi wa Skuli ya Mohammed Juma Pinduwa , huko Mkoani Pemba ambalo
limefunguliwa na mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba, mzee Mberwa Hamad Mberwa.

PICHA NA JAMILA ABDALLA -MAELEZO PEMBA.
No comments:
Post a Comment