Habari za Punde

Kiongozi wa Mbio Za Mwenge Kitaifa Ndg Mzee Mkongea Azindua Chanjo ya Matone ya Vitamen A na Kugawa Vyandarua Kwa Wamama Wajawazito Kituo Cha Afya Pujini i Kna

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Tanzania, Mzee Mkongea Ali akimpatia chanjo ya matone la Vitameni "A" mtoto aliyechini ya Miaka mitano, wakati wa mbio za mwenge katika Wilaya ya Chakechake Pemba, walipofika katika kituo cha afya Pujini.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Tanzania, Mzee Mkongea Ali akimkabidhi chandarua mmoja ya mama mwenye mtoto mchanga, katika kituo cha afya Pujini Wilaya ya Chake Chake.
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Tanzania, Mzee Mkongea Ali akimkabidhi chandarua mmoja ya mama mwenye mtoto mchanga, katika kituo cha afya Pujini Wilaya ya Chake Chake.
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mzee Mkongea Ali, akipanda mnazi katika kituo cha afya Pujini mara baada ya kutoa matone ya Vitamen A kwa watoto na ugawaji wa vyandarua

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mzee Mkongea Ali, akikagua mradi wa kilimo cha migomba na ufugaji wa ngombe huko Mfikiwa Wilaya ya Chake Chake.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.