Habari za Punde

Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt Amani Karume Atembelea Maonesho ya Biashara 43 ya Kimataifa Viwanja Vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt.Amani Abeid Karume, akisaini kitabu cha wageni katika banda la wajasiriamali wakinamama, alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume, akipata maelezo kutoka kwa mjasiriamali katika banda la Wajasiariamali kinamama, kuhusu Bidhaa zao alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume akipata maelezo kuhusu bidhaa za korosho kutoka moja ya makampuni ya kuzalisha korosho nchini alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume, akiangali jinsi  bidhaa ya korosho inavyoandaliwa kutoka kwa mwandaaji wa Moja ya makampuni ya kuzalisha korosho yaliyoko kwenye maenesho ya baishara ya Kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume, akichagua Korosho kutoka kwenye moja Makampuni yaliyoko kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam. 
Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume, akiangalia transifoma lililotengenezwa hapa nchini na kampuni ya Tropical walipotembelea banda lao katika maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.

Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume na Mkewe Mama Shadya Karume wakiwa kwenye sofa zilizotengenezwa na Jeshi la Magereza, wakati alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Idara ya Habari - Maelezo Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.