Habari za Punde

Kongamano la Utetezi na Kukuza Upatikanaji wa Ardhi Kisiwani Pemba.

MASHEHA wa Wilaya ya ChakeChake, Wanasheria, Wasaidizi wa Sheria, Viongozi wa Dini kutoka Ofisi ya Mufti, Idara ya Ardhi, Mazingaira, Watendaji kutoka Wakfu na Mali ya Amana Pemba na Wanajamii, wakifuatilia Kongamano la Siku la wadau wa mradi wa ushawishi na Utetezi wa kukuza upatikanaji wa Ardhi na Rashilimali nyengine kwa wanawake wa Wilaya ya Chake Chake
MRATIB wa mradi wa Ushawishi na Utetezi wa Kukuza upatikanaji wa Ardhi na Rasilimali nyengine kwa wanawake katika Wilaya ya Chake Chake, unaoendeshwa na Jumuiya ya KUKHAWA Pemba, Zulekha Mohamed Kheir akitoa maelezo juu ya mradi huo kwa washiriki wa kongamano la siku moja la wadau.
SHEHA wa Shehia ya Mjini Ole Khamis Shaaban Hamad, akichangia mada katika kongamano la siku moja la wadau  wa Mradi wa Ushawishi na Utetezi wa Kukuza upatikanaji wa Ardhi na Rasilimali nyengine kwa wanawake wa Wilaya ya Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.