Habari za Punde

Mkutano wa siku mbili wa kujadili maendeleo na changamoto za utalii Zanzibar

 WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar , Mahmoud Thabit Kombo, akiongoza mkutano wa siku mbili wa kujadili maendeleo na changamoto za Utalii, hoteli ya Verde Mtoni Mjini Unguja (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 WADAU na Wawekezaji wa Mahoteli ya kitalii Zanzibar, walioshiriki katika mkutano wa siku mbili wa wa kujadili maendeleo na changamoto za Utalii, hoteli ya Verde (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 WADAU na Wawekezaji wa Mahoteli ya kitalii Zanzibar, walioshiriki katika mkutano wa siku mbili wa wa kujadili maendeleo na changamoto za Utalii, hoteli ya Verde (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 MKURUGENZI Mamlaka ya Ukuzaji Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA), Sharif Bakar Sharif, akichangia wakati wa mkutano wa kujadili maendeleo na changamoto za Utalii, hoteli ya Verde Mtoni Mjini Unguja (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 MWENYEKITI wa Chama cha Waongoza Utalii Zanzibar, Hassan Ali Mzee, akichangia wakati wa mkutano wa siku mbili wa kujadili maendeleo na changamoto za Utalii, hoteli ya Verde Mtoni Mjini Unguja (PICHA NA ABDALLA OMAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.