Habari za Punde

Waziri wa Afya apokea msaada wa vifaa vya tiba kutoka Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani

Mwenyekiti wa Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat Sheikh Abdalla Hadhar Abdalla akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Msaada wa Vifaa Tiba uliotolewa na Jumuiya  wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar.
Naibu Katibu wa Jumuiya ya Wazee(JUWAZA)Kombo Mohamed Khamis akielezea kuhusiana na kupatiwa misaada mbalimbali kwa Wazee na Walemavu katika hafla ya makabidhiano ya Msaada wa Vifaa Tiba  kutoka Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar. 
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akitoa hotuba katika hafla ya makabidhiano ya Msaada wa Vifaa Tiba kutoka Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar.
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akipeana mikono na  Mwenyekiti wa Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat Sheikh Abdalla Hadhar Abdalla ikiwa ni ishara ya kupokea kwa Msaada wa Vifaa Tiba vilivyotolewa na Jumuia hio wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar.

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akimpandisha Mtoto Sulhia Idi Nassor ambae ni Mlemavu katika kigari katika hafla ya makabidhiano ya Vifaa Tiba vilivyotolewa na Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar.

Picha na Yussuf Simai-Maelezo-Zanzibar

1 comment:

  1. mnajitahidi kutoa habari nzuri ila kuweni makini mnapotoa habari kabla ya kuipublish. kama habari hii haipo katika mpangilio mzuri. Caption na picha zipo mwanzo kabla ya habari wenyewe. ilitakiwa habari iendane na picha za tukio.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.