Mgombea Uwakilishi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe.Shaaban Ali Othman akielekea katika Ofisi za Tumu ya Uchaguzi za Wilaya ya Mjini Maisara Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuchukuwa Fomu ya Uteuzi wa Kugombea Uwakilishi Jimbo la Mpendae Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-9-2025.

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Mpendae wakimshindikiza Mgombea wao wa Uwakilishi wa Jimbo la Mpendae katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Wilaya ya Mjini Maisara Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Uteuzi wa Kugombea Uwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-9-2025.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Mpendae Zanzibar wakimshindikiza Mgombea wao wa Uwakilishi wa Jimbo la Mpendae kuelekea Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Wilaya ya Mjini Maisara Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Uteuzi wa Kugombea Uwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-9-2025.

Mgombea Uwakilishi Jimbo la Mpendae Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Shabaan Ali Othman akisaini buku la kuchuku fomu ya Uteuzi wa Kugombea Uwakilishi Jimbo la Mpendae Zanzibar alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Wilia ya Mjini Unguja Maisara Jijini Zanzibar leo 3-9-2025 kwa ajili ya kuchukua fomu.
No comments:
Post a Comment