Habari za Punde

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KATIKA WIZARA YA AFYA-ZANZIBAR



Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Afya Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-

1. Daktari wa Binaadamu Daraja la II “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Udaktari kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2. Afisa Tabibu Daraja la III “Nafasi 8” Unguja na “Nafasi 10” Pemba
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya “Clinical Medicine” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

3. Muuguzi Daraja la III “Nafasi 39” Unguja na “Nafasi 20” Pemba
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya “Uuguzi” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

4. Anaesthesia Daraja la II “Nafasi 1” Unguja 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Anasthesia” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

5. Afisa Tabibu Meno Daraja la III “Nafasi 8” Unguja na “Nafasi 2” Pemba
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Utabibu Meno kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

6. Physiotherapist Daraja la II “Nafasi 4” Unguja 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Physiotherapy” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

7. Afisa Mionzi Daraja la II “Nafasi 12” Unguja na “Nafasi 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Radiography” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

8. Sonographer Daraja la II “Nafasi 3” Unguja 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Sonography” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

9. Afisa Maabara Daraja la II “Nafasi 4” Unguja 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya kwanza ya Maabara kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

10. Afisa Maabara Msaidizi Daraja la III “Nafasi 26” Unguja na “Nafasi 4” Pemba
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada ya “Laboratory Technology” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

11. Fundi Sanifu Maabara Daraja la III “Nafasi 18” Unguja na “Nafasi 15” Pemba
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Ufamasia kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

12. Microbiology Daraja la II “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Microbiology” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

13. Histopathology Daraja la II “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Histopathology” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

14. Haematology Daraja la II “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Haematology” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

15. Parasitology Daraja la II “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Parasitologyogy” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

16. Clinical Chemistry Daraja la II “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya “Clinical Chemistry” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

17. Quality Manager Daraja la II “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Laboratory” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

18. Phlebotomist Daraja la II “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya “Laboratory” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

19. Afisa Mionzi Msaidizi Daraja la III “Nafasi 4” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya “Radiography” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

20. Assistance Sonographer Daraja la III “Nafasi 1” Unguja 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada ya “Sonographer” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

21. Muhandisi Vifaa Tiba Daraja la II “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya “Biomedical Technology” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

22. Oxygen Operator Daraja la III “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Certificate ya “Oxygen Operator” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

23. Physiotherapist Daraja la III “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya ‘Physiotherapy’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

24. Dental Technician Daraja la III “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya ‘Dental Technic’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

25. Afisa Kumbukumbu Daraja la III “Nafasi 5” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya ‘Record Management’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

26. Epidemiologist “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Master au Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Epidemiologist’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

27. Environmental Health Practitioners Daraja la II “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Environmental Health Practition’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

28. Environmental Health Officer Daraja la II “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Environmental Health Officer’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

29. Afisa Lishe Daraja la II “Nafasi 1” Unguja na “Nafasi 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Nutrition’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

30. Fundi Sanifu Madawa Daraja la III “Nafasi 8” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Ufundi Sanifu Madawa’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

31. Afisa Manunuzi na Ugavi Daraja la II “Nafasi 4” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Ununuzi na Ugavi’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

32. Afisa Sheria Daraja la II “Nafasi 3” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Sheria’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

33. Afisa Technologia ya Habari na Mawasiliano Daraja la II “Nafasi 3” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Habari na Mawasiliano (ICT)’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

34. Dereva Daraja la III “Nafasi 6” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na awe amepata Leseni ya Udereva.
Awe amepata mafunzo ya Udereva kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

35. Katibu Muhtasi Daraja la III “Nafasi 5” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Uhazili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. 

36. Walinzi Daraja la III “Nafasi 3” Unguja 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amemaliza elimu ya Sekondari.
Awe amepata mafunzo ya Ulinzi (Mgambo au JKU au JKT)

37. Quality Assistance Ofiicer “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza au Stashahada ya ‘Quality Assistance Officer’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

38. Special Gang Daraja la III “Nafasi 3” Unguja na “Nafasi 3” Pemba
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu elimu ya Sekondari.

39. Afisa Utumishi “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Human Resouce Management’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

40. Afisa Ufuatiliaji na Tathmini “Nafasi 1” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Mipango’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

41. Laboratory Supervisor “Nafasi 2” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Laboratory Technology’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

42. Mtafiti Daraja la II “Nafasi 4” Unguja
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Pili kati ya fani ya Maabara au UUguzi au ufamasia n.k kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya 
Mapinduzi ya Zanzibar

43. Chemist Daraja la II “Nafasi 1” Unguja na “Nafasi 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Chemist’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

44. Food Inspector Daraja la II “Nafasi 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Food Science’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

45. Maintenance Caliboration Daraja la II “Nafasi 1” Pemba
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Maintenance Caliboration’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

46. Meat Inspector Daraja la II “Nafasi 2” Pemba
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya ‘Daktari wa Wanyama’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Jinsi ya Kuomba:
Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
KATIBU, 
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.
Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba.

Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-
a) Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo 
b) Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
c) Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
d) Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
e) Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
f) N.B: Atakaewasilisha ‘Statement of Result’ au ‘Progressive Report’ maombi yake hayatazingatiwa.
g) Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 31 Julai, 2019 wakati wa saa za kazi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.