Habari za Punde

Mradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Ujenzi wa Maduka ya Kisasa Micherzani Ukiendelea na Ujenzi Huo.

Mradi wa Ujenzi wa Maduka ya Kisasa katika eneo la Michenzani Zanzibar lililokuwa na Maduka ya Makonteni likiendelea na ujenzi huo kwa kasi Ujenzi wa Mall ya Maduka ya Kisasa kupitia Mradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.