Habari za Punde

Muonekano wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR Eneo la Shaurimoyo Jijini Dar es Salaam Linavyoonekana Toka Hewani.

Muonekano wa sehemu ya Daraja la Reli ya SGR litalopita juu kutoka Ilala hadi Stesheni ya Dar es salaam  linavyoonekana likimaliziwa kujengwa maeneo ya Shaurimoyo kama lilivyopigwa picha leo na Issa Michuzi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.