Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Magufuli Apokea Dhahabu na Fedha Zilizokamatwa Nchini Kenya

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akipokea kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Monica Juma Dhahabu pamoja na pesa iliyokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania  kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisaidia kuhesabu vipande vya dhahabu huku akishuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi aliye vipokea kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Monica Juma Dhahabu pamoja na pesa zilizokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania  kwenye hafla ya
makabidhiano iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
 :Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kushuhudia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akipokea kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Monica Juma Dhahabu pamoja na pesa xzilizokamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania  kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Ikulu jijini Dar
es salaam
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akisalimiana kwa simu ya mkononi na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe Jomo Kenyatta  baada ya viongozi hao kushuhudia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akipokewa kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Monica Juma Dhahabu pamoja na pesa iliyokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania  kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Julai 24, 2019. Kushoto ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akifuatiwa na Mhe Monica Juma. Kutoka kulia ni Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akifuatiwa na Profesa Kabudi na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali Mhe Biswalo Mgangha 
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Monica Juma baada ya kukabidhi  Dhahabu pamoja na pesa iliyokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania  kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Julai 24, 2019
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.