Habari za Punde

Uzinduzi wa Mradi wa Six Hundred Oppotunities Kisiwani Pemba.

MKUU wa Wilaya ya Wete Kepeteni Khatib Khamis Mwadini, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mradi wa Six Hundred Oppotunities unaoenendeshwa na Kituo cha majadiliano kwa Vijana (CYD) huko katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba
KATIBU Tawala Mkoa wa Kusini Pemba Abdalla Rashid Ali, akizungumza na masheha, Vijana na viongozi wa mabaraza ya Vijana kutoka shehia tatau za Chake Chake na Tatu za Wete, wakati wa Uzinduzi wa mradi wa Six Hundred Oppotunities unaoenendeshwa na Kituo cha majadiliano kwa Vijana (CYD) huko katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.