Habari za Punde

Ziara ya Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Misri.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wac Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akizungumza na Watanzania wanaoishi Nchini Misri wakati wa ziara yake mazungumzo hayo yamefanyika katika hoteli ya Almasa, mjini Cairo
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, akipokea picha ya Rais Magufuli, iliyochorwa na Binti wa Dereva wa Ubalozi wa Tanzania nchini Misri, Hadeer Mohamed, kwenye mkutano na Watanzania waishiyo nchini Egypt, uliyofanyika katika hoteli ya Almasa, mjini CairoJulai 9.2019. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Misri, Meja Jenerali Mstaafu, Issa Suleiman

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab, wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini Misri,
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, akipokea zawadi ya ngao, kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab, wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini Misri,


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab, wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini Misri,
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mfereji wa Suez Canal, Admiral Mohab, wakati alipotembelea mfereji huo mpya nchini Misri.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.