Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Sheria na Katiba Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Sheria na Katiba Zanzibar, katika mkutano wa Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.22-8-2019.  
Watendaji wa Wizara za Katiba na Sheria Zanzibar wakifuatilia mkutano huo na Rais wa Zanzibar nac Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, kuzungumzia Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. 
Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe Khamis Juma Mwalim akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi  wa Wizara yake  kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar kushoto Mshauri wa Rais Pemba Mhe.Dk.Maua Abeid Daftari. 
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar Ndg. Goerg Joseph Kazi akisoma na kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa Wizara yake kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. 
Baadhi wa Watendaji wa Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar wakifuatrilia uwasilishwaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Wizara yao, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Baadhi wa Watendaji wa Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar wakifuatrilia uwasilishwaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Wizara yao, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
KATIBU wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar , ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein
MWENYEKITI wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar  Jaji Mshibe Ali Bakari, akichangia wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa Wizara ya Sheria na Katiba Zanzibar . kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019 kulia Mshauri wa Rais Pemba Mhe. Dk. Maua Abeid Daftari na Waziri wa Wizara ya Sheria Katiba Zanzibar Mhe Khamis Juma Mwalim.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.