Habari za Punde

Mradi wa Uwekaji wa Taa za Sola Ukiendelea Kisiwani Pemba.

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya SALEM Construction wakichimba msingi eneo la Mwanamashungi Wilaya ya Chake Chake, kwa ajili ya ulazaji wa bomba za waya wa umeme kwa ajili ya Taa za Barabarani katika Mji huo.
MKURUGENZI wa Kampuni ya Usaju Company Limited Ussi Salum Pondeza, akipima moja ya bomba ambazo zinazikwa chini, kwa ajili ya kuingiza waya wa Umeme kwa ajili ya Taa za Barabarani katika mji wa Chake Chake.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.