Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Aendelea na Mkutano wa TICAD 7

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na   Waziri wa Mambo ya Nje  na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi (wapili kushoto) wakizungumza na Profesa Mark Rweyemamu ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa  Kituo cha SACIDS Foundation for One Health  chenye makao yake mkoani Morogoro (wapili kulia) na   Profesa Gerlad Masinzo ambaye ni Kiongozi wa Kituo hicho katika Mkutano wa Saba wa TICAD unaoendelea kwenye Hoteli ya Pacifico Yokohama nchini Japan, Agosti 29, 2019. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.