Habari za Punde

Jumuiya inayopambana na changamoto zinazowakabili Vijana Zanzibar kuwajengea uwezo asasi za kiraia

 MKURUGENZI Mtendaji wa Jumuiya inayopambana na changamoto zinazowakabili Vijana Zanzibar, Abdalla Ali Abeid akitoa ufafauni wa swali kwa moja ya makundi wakati wa mkutano wa siku moja kwawadau juu ya utekelezaji wa mradi wa kuwajengea uwezo asasi za kiraia na vyombo vya habari juu ya sheria za mitandao, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Maktaba kuu chake Chake Pmeba.(PCHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)  

 MKURUGENZI Mtendaji wa Jumuiya inayopambana na changamoto zinazowakabili Vijana Zanzibar, Abdalla Ali Abeid akizungumza na wadau mbali mbali juu ya utekelezaji wa mradi wa kuwajengea uwezo asasi za kiraia na vyombo vya habari juu ya sheria za mitandao, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Maktaba kuu chake Chake Pmeba.(PCHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)

MKURUGENZI Mtendaji wa Jumuiya inayopambana na changamoto zinazowakabili Vijana Zanzibar, Abdalla Ali Abeid akimkabidhi zawadi mshindi wa jumla katika kazi za vikundi Berema Suleiman baada ya kundi kale kuibuka mshindi wa kwanza, wakati wa uwasilishaji wa kazi katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Maktaba kuu chake Chake Pmeba.(PCHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.