Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Maabara SUA, na Kiwanda Cha Kuchakata Mikunde Morogoro.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kiwanda Cha kuchakata Mikunde cha Mahashree Agro Processing Industry of Tanzania kiliopo katika kijiji cha Mkambarani Wilayani Morogoro leo Agost 07,2019. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa Ziara ya kikazi ya siku Tatu. kulia ni Waziri wa Biashara na Viwanda Innocent Bashungwa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Maabara kubwa kwa Afrika ya Sayansi katika Chuo Kikuu cha Kilimo SUA Mkoani Morogoro leo Agost 07,2019. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa Ziara ya kikazi ya siku Tatu. kulia ni Waziri wa Biashara na Viwanda Innocent Bashungwa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.