Habari za Punde

Mashindano ya mbio za Basikeli yafana katika Tamasha la tatu la Utalii Pemba

WANAHAMASA kutoka Wilaya ya Wete wakionesha manjonjo yao wakati wa Mashindano ya mbio za baskeli huko katika viwanja vya redio jamii Micheweni Pemba

NAIBU Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis akizungumza na wananchi mbali mbali wa Wilaya ya Micheweni wakati wa  Mashindano ya wa zawadi mbio za baskeli zilizoanzia Mchangamdogo ha Micheweni, ikiwa ni muendelezo wa  tamasha la tatu la Utalii. Pemba 
NAIBU Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis akimzawadia baskeli mshindi wa pili wa Mashindano ya baskeli Abass Hamad Ali  wa Skuli  ya Sekondari Sizini wakati wa tamasha la tatu la Utalii huko Micheweni Pemba 
NAIBU Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis akimzawadia baskeli mshindi wa Kwanza wa mbio za baskeli Mohammed Simba Shaame wa Skuli ya Sekondari Tumbe huko katika kiwanja viwanja vya redio jamii Micheweni Pemba 
NAIBU Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Chumu Kombo Khamis akimzawadia baskeli kocha wa Klabu ya ya waendesha baskeli huko katika viwanja vya redio jamii Micheweni Pemba ( PICHA NA SAID ABDULRAHMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.