Habari za Punde

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohamed Said Ahudhuria Mkutano wa Pili wa Kuhusu Namna ya Ukuwaji wa Elimu ya Afrika Unaofanyika Nchini Botswana.

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akiwa na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Bostswana Mhe,Slumber Tsogwane, wakiwa katika picha ya pamoja na VIongozi wengi wakihudhuria Mkutano wa Pili kuhusu namna ya ukuwaji wa Elimu ya Afrika, unaofanyika Nchini Botswana.  wakwanza kulia Waziri wa Elimu ya Lazima Botswana.Mhe.Bagalatia Arone    
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara za Elimu. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.