Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba Maji na Nishati Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati  katika mkutano wa utekelezaji wa bajeti na mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.21-8-2019.
Mshauri wa  Rais katika  Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati  Mhe,Burhani Saadat Haji (kushoto) akichangia  wakati wa  mkutano wa utekelezaji wa bajeti na mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara hiyo   uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,   ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Naibu wa Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Juma Makungu Juma(kulia)
Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Hassan Ali Mbarouk (kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu deni la Umeme la ZECO ambalo limefutwa na  Kampuni ya TANESCO wakati wa  mkutano wa utekelezaji wa bajeti na mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati  katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya  Viongozi mbali mbali katika  Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati  wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 21/08/2019. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.