Habari za Punde

Taasisi ya Feisal Foundation yatoa misaada kwa watotot wanaoishi mazingira magumu Junguni, Gando kisiwani Pemba

 Mkurugenzi wa taasisi ya FEISAL FOUNDATION, Feisal  Mohammed Budh, akiwa na sare za Skuli ambazo zinatarajiwa kugaiwa kwa wanafunzi wa Skuli ya Msingi Junguni Gando Kisiwani Pemba.
 Mkuu wa taasisi ya Feisal Foundation, Feisal Mohammed Budh, akiwapatia zawadi wanafunzi mbali mbali huko katika skuli ya msingi Junguni Gando Pemba.
 Wanafunzi wa Skuli ya msingi Junguni Gando wakiwa katika hafala ya kupatiwa msaada wa sare za Skuli uliotolewa na taasisi ya Feisal Foundation kwa watoto wa naishi katika mazingira magumu.


PICHA NA ABDU ISSA -PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.