Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Lindi

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, akiwasalimia wananchi wa Kata ya Rutamba, akiwa katika ziara yake ya siku mbili ya kikazi kutembelea Mkoani wa  Lindi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutibia wananchi wa Kata ya Rutamba, kwenye mkutano wa hadhara, akiwa mkoani Lindi katika ziara ya kikazi ya siku mbili
Wananchi wa Kata ya Rutamba, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwenye mkutano wa hadhara, akiwa mkoani Lindi katika ziara ya kikazi ya siku mbili, Agosti 23.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.