Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd. Yakabidhi Zawadi Kwa Wanafunzi 116 Zanzibar.wa Kidato Cha Sita Waliofanya Vizuri Mitihani ya ya Taifa kwa Kupata Division One

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma. mwenye mtandio mwekundu, akimkabidhi mfano wa hundi Mzazi wa Mwanafunzi Abdulrazak Machano, aliyepata Point 4, somo la Sayansi,aliyefaulu na kupata Division One, Bi. Kijakazi Mussa Machano, kushoto kwa Waziri Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ. Bi. Khadija Shamte na kulia kwa Waziri Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, hafla hiyo ya kukabidhi zawadi imefanyika katika ukukmbi wa Hoteli ya Abla Apartment Beit ras.
PBZ imekabidhi fedha taslimu kwa Wanafunzi 116, waliofanyika vizuri mitihani yao 95, kwa Somo la Sayansi na 21 kwa somo la Biashara, kila mmoja amekabidhiwa shilingi milioni moja na PBZ. Pia PBZ imenunua kila A ya Mwanafunzi  kwa shilingi miliono moja.     
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe, Riziki Pembe Juma, akimkabidhi mfano wa Hundi Mwanafunzi Is-haka Uhuru Hemed,aliyepata Point 4, kushoto kwa Waziri Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ.Bi. Khadija Shamta na kulia kwa Waziri. Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Dkt. Idris Muslim Hija, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Abla Apartment Beitras 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, akimkabidhi Mwanafunzi Bora aliyefanya Vizuri Mtihani wake Kidato cha Sita. Sumayya Omar Mussa,kwa kupata Point 4, kushoto kwa Waziri Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Bi.Khadija Shamte na kulia kwa Waziri Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Dkt. Idrisa Muslim Hija, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Abla Apartment Beitras Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, akimkabidhi Mwanafunzi Bora aliyefanya Vizuri Mtihani wake Kidato cha Sita. Wahda. Mbarak Uzia, kwa kupata Point 4, kushoto kwa Waziri Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Bi.Khadija Shamte na kulia kwa Waziri  Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Dkt. Idrisa Muslim Hija, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mkurugenzi wa Masoko wa PBZ. Ndg. Said Ali Mwinyigogo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Abla Apartment Beitras Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, akimkabidhi Mwanafunzi Bora aliyefanya Vizuri Mtihani wake Kidato cha Sita. Abdulraham Mussa Juma,kwa kupata Point 5, kushoto kwa Waziri Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ. Bi.Khadija Shamte na kulia kwa Waziri Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Dkt. Idrisa Muslim Hija, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Abla Apartment Beitras Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, akimkabidhi Mwanafunzi Bora aliyefanya Vizuri Mtihani wake Kidato cha Sita. Nasma Talib Saleh. kwa kupata Point 5, kushoto kwa Waziri Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Bi.Khadija Shamte na kulia kwa Waziri  Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Dkt. Idrisa Muslim Hija, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mkurugenzi wa Masoko wa PBZ. Ndg. Said Ali Mwinyigogo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Abla Apartment Beitras Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma, akimkabidhi Hundi ya mfano ya shilingi milioni moja Mwanafunzi Abdalla Salum Abdalla, kwa kupata Point 6, katikati Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ.Bi. Khadija Shamte, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Abla Apartment Beitras Zanzibar.  
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma, akimkabidhi Hundi ya mfano ya shilingi milioni moja Mwanafunzi Khamis Othman Khamis, kwa kupata Point 7, katikati Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ.Bi. Khadija Shamte, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Abla Apartment Beitras Zanzibar.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.