Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Azindua Mfumo wa Uendeshaji Bunge Kidigitali.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe.Kassim Majaliwa, akizindua mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma leo  Septemba 12.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge, kwenye uzinduzi wa mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, Bungeni jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, akizungumza na Wabunge, baada ya uzinduzi wa mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kulia) wakiangalia mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, baada ya kuzinduliwa, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.