Habari za Punde

Kikao cha kutathmini safari ya Hijja chini ya taasisi ya kuelimisha na kusafirisha Mahujaji Zanzibar chafanyika Madungu Pemba



BAADHI ya Mahujaji ambao walisafiri na taasisi ya kuelimisha na kusafirisha Mahujaji Zanzibar wakiwa katika kikao Cha kutathmini safari yao huko katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Madungu Chake Chake Pemba, ( PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA).
 MWAKILISHI wa Sheikh Habib Ali Kombo, Abdalla Habibu Ali akizungumza na Mahujaji waliosafiri na taasisi ya kuelimisha na kusafirisha Mahujaji Zanzibar katika kikao Cha kutathmini safari ya hijja mwaka huu huko katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Madungu Chake Chake Pemba. (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)

MWENYEKITI wa taasisi ya kuelimisha na kusafirisha Mahujaji Zanzibar Rashid Habibu Ali, akizungumza na Mahujaji waliosafiri na taasisi hiyo wakati wa tathmini ya safari yao huko katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Madungu Chake Chake Pemba.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA
 Said Suleiman miongoni mwa Mahujaji waliosafiri na taasisi ya kuelimisha na kusafirisha Mahujaji Zanzibar akizungumza jambo katika kikao Cha kutathmini safari yao kwa mwaka huu huko katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Madungu Chake Chake Chake, (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.