Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo.

Waziri Mkuu Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wananchi katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (kushoto) Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, George Simbachawene.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma, Septemba 12.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.