Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, Azungumza na Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani Ikulu leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali  Assoumani wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali  Assoumani wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo  kwa ajili ya kusalimiana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na  mgeni wake Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali  Assoumani baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.