Habari za Punde

SMIDA Yatoa Elimu ya Vifungashio Bidha Zao Kwa Wajasiriamali Kisiwani Pemba.

Afisa Mdhamini Wizara ya Biashara na Viwanda Pemba Ali Suleiman Abeid akifunguwa mkutano wa vifungashio na alama ya utambulisho vya bidhaa kwa wajasiriamali katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba (kulia) Zeyana Ali Kassim Kaimu Mkurugenzi Smida Zanzibar na Nassor Suleiman Zahrain Mratibu wa Smida Pemba.  
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Viwaanda Pemba Nd.Aidha Mohammed Salum akitoa melezo kwa wajasiriamali waliofika katika ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba (katikati) ni  Afisa Mdhamini Wizara ya Biashara na Viwanda Pemba Ali Suleiman Abeid na Zeyana Ali Kassim Kaimu Mkurugenzi Smida Zanzibar
Kaimu Mkurugenzi wa Smida Zanzibar Zeyana  Ali  Kassim akitoa Maelezo kwa wajasiriamali namana ya kuweka kifungashio cha bidhaa  kwa wajasiriamali hao  katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.
Mwenyekiti wa kikundi cha Nasisitunaweza Vitongoji Maryam Sallekh Juma akitoa ushauri kwa Smida jinsi ya kuwapatiwa mikopo ya kujiendeleza katika kikundi chao.
Wajasiriamali na bidhaa zao wakimsikiliza Mkurugenzi wa Smida Zanzibar Zeyana   Ali Kassim wakati alipokuwa akitowa Maelezo kwa wajasiriamali hao walipofika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba.
Katibu Tawala Mkoa wa Kusini Pemba Abdalla Rashid Ali akifunga Mkutano wa wajasiriamali waliyofika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba.
 Picha na Miza Othman Maelezo Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.