Habari za Punde

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Atembelea Miradi ya ZSSF Kiwanja Cha Kufurahisia Watoto Kariakoo. Zanzibar.

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa akitembelea Uwanja wa Kufurahisha Watoto Kariakoo Zanzibar akiwa katika ziara yake kutembelea Taasisi zilizoko katika Wizara yake, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar.Bi. Sabra Issa Machano, akiwa na Wajumbe wa Bodi ya ZSSF.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa, akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF)Bi.Sabra Issa Machano, wakati wa ziara yake kutembelea Kiwanja cya Watoto Kariakoo Zanzibar.(Picha na Abdalla Omar).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.